Nandy: hakuna siri ya mafanikio

Nandy: hakuna siri ya mafanikio

Ebwana kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa msanii Faustina Charles maarufu Nandy ameandika ujumbe huu hapa  akiwapa hamasa watu katika safari ya mafanikio.

''There are no secrets to success. It is the result of preparion, hard work. And learning from failure..'' Yakiwa Na Maana Ya Kuwa.........."Hakuna siri ya mafanikio, ni matokeo ya maandalizi, kufanya kazi kwa bidii na kujifunza kutokana na kushindwa ''.ameandika Nandy






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags