Nikkwapili: tusiache kujiongeza

Nikkwapili: tusiache kujiongeza

Yes!kutoka kwenye ukurasa wa twitter wa Mkuu wa wilaya ya kisarawe Nikkwapili ameandika ujumbe huu akiwata watu katika jamii wasiache kujiongeza katika harakati zo wanazozifanya.

Nikkwapili ameandika haya ''aliye bora leo au kilicho bora leo kesho kinaweza kisionekane bora na kikawa kimepitwa na ubora hivyo tusiache kujiongeza- ubora sio kituo ni safari''

Unaweza kudondosha comment yako hapo chini kufuatia ujumbe huu kutoka kwa Dc Nikkwapili kupitia website yetu www.mwananchiscoop.co .tz






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags