Anjella, sina mpango wa kuondoka Konde Gang

Anjella, sina mpango wa kuondoka Konde Gang

Ooooyeah niaje wanangu wa mwananchiscoop bwana weeee wakati wambea wanatamani kusikia mwanadada anjella kutaka kuondoka huku first lady huyo kutoka label ya Konde Gang amefunguka na kueleza kuwa hana mpangowa kuondoka katika kundi hilo kwasasa

Anjella amefunguka hayo kupitia chombo cha habari kil;ichopo hapa nchini na kueleza kuwa ‘’kwasasa siwezi kutoka Konde Gang, mimi nilishituka tu kitu gani ambacho kimetokea baada ya Country kuondoka, unaja kuna sababu zipo lakini mawazo yangu mimi sio kutoka kwasasa bado nahitaji kujitengeneza niwe bora zaidi’’ amesema Anjella






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags