Shetta: Nahitaji madancer 100

Shetta: Nahitaji madancer 100

Yap kuna ule usemi wa Kiswahili unasema kimya kingi kina mshindo baada ya kimya cha muda kidogo sasa kubwana kutoka kwa Msanii Shetta tegemea kukutana na ngoma yake hivi karibuni.

kingi waswahili wanasema kinamshindo

Nikwambie tu hii imekuja baada ya kupost clip akiwa anausikiliza wimbo wake mpya huku akiitaji madancer 100 ili walikamilishe jambo hilo.
Kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram Shetta ameandika hivi  ''Nahitaji madancer 100- Tufanye Kitu kwenye hii ngoma !! Kama wewe dance weka Comment ya Moto, Then nichek DM!!''.

Ebwana eeeh ni ngoma gani unaikubali kutoka kwa msanii huyu? Dondosha comment yako kupitia www.mwananchi.co.tz.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags