Shilole: umbali huleta amani na ukaribu huleta chuki

Shilole: umbali huleta amani na ukaribu huleta chuki

Ebwana eeh!! kutoka kwenye ukurasa wa Instagram msanii na mjasiriamali Zuwena Mohamed maarufu Shilole ameandika ujumbe huu hapa.

''Mara nyingine umbali huleta amani na ukaribu huleta chuki, unapomuweka mtu karibu anakuwa na mategemeo mengi juu yako, unaposhindwa kwenda na mategemeo yake vita baridi huanza na ni kwakuwa binadamu ni mtu mwenye tendency ya kutaka zaidi”

“ Kila anavyopokea ama unavyojitoa kwake badala ya kuapreciate ndivyo anavyotaka na kuhisi haki yake, hivyo ili kujenga mahusiano mema na baadhi ya watu mara nyingine endelea kuwaweka mbali!!! kuna amani kubwa kwenye umbali.''

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags