Say ayeyeee!! Ni bahati yako kukutana tena msomaji na mfuatiliaji wa kipengele cha Nipe Dili kila kukicha nikupeana madini mbalimbali yakuweza kutusaidia kufika tunapataka au ...
Watu wasio na kipato cha uhakika wanapenda kutumia kama vile wana utajiri wakati matajiri huwekeza wakiawalenga watu wa sio na kipato cha uhakika kuja kununua.
Hata ukiangal...
Star wa Hip Hop kutokea nchini Marekani, Wiz Khalifa amewaonya mastaa wenzake kuwa wanatakiwa kuishi vizuri na kuheshimiana hasa kuelekea kipindi cha mwaka mpya.
Msanii huyo a...
Unaambiwa huko mitandaoni moja ya story inayobamba ni ya msanii kutokea pande za Marekani 50 Cent kuandika ujumbe uliyoashiria kuwa uwenda album yake ijayo ndio itakuwa ya mwi...
Rapa kutokea nchini Marekani, Kanye West ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa watu wasio na makazi ya kuishi kwani atageuza nyumba zake kuwa makanisa.
Katika interview aliyofa...
Moja kati ya vitu vilivyozua maswali katika mitandao ya kijamii ni tweet ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz aliyoiweka katika ukura...
Hii hapa bwana kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikkiwapili ameandika........ ujumbe huu hapa ambao ametaka kushare na wengine je anasemaje?...
Ebwana eeeh!!!!Unaambiwa Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya 'Patek Philippe Tiffany Blue Nautilus 5711' yenye thamani ya Dola Milioni 6.5 sawa na Tsh Bili...
Habari msomaji wetu wa dondoo za fashion, ni siku nyingine tena tunakutaka hapa ili kuweza kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na masuala mitindo, urembo na mavazi ambayo naju...
Msanii wa muziki nchini Tanzania ambaye kwa sasa anaishi huko Marekani, Vanessa Mdee ameweka wazi kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili siku za hivi karibuni.
Hiyo imekuja baa...
Niaje bhana! Karibu kwenye ukurasa wa Smartphone ikiwa ni Jumatano, tulivu kabisa huku mvua ikiwa inapigapiga katika baadhi ya maeneo jijini Dar es salaam, direct tutakwenda k...
Aisee moja kati ya taarifa zilizopo bwana ni hii hapa, Polisi ametoa ushuhuda mahakamani kwamba Tory lanez alikuwa akitamka Kauli Chafu "dance b***h, dance" kabla ha...