Mbosso Afunguka furaha ya kuwa na Wapenzi wanne

Mbosso Afunguka furaha ya kuwa na Wapenzi wanne

Msanii kutoka lebo ya WCB, Mbosso Khan amefunguka na kutoa maoni yake kuhusu furaha ya mtu kuwa na wapenzi wanne kwa wakati mmoja.

Mbosso ameeleza kwamba mtu ukiwa na mpenzi mmoja anakupa furaha vipi ukiwa na wapenzi wanne kwa wakati mmoja hizo furaha zake.

"Ukiwa na mpenzi mmoja anakupa furaha, imagine ukiwa na wapenzi wanne haya mafuraha yake sasa". Amesema Mbosso

Msomaji wetu tuambie na wewe una maoni gani katika hili la Mbosso au unaungana naye, tupia maoni katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags