28
Chris Brown akabiliwa na tuhuma za ubakaji
Msanii Chriss Brown anadaiwa Kiasi cha Sh. Bilioni 46 na mwanadada Diddy aliyedai kuwa alibakwa na msanii huyo kwenye boti iliyokaribuni na nyumbani kwake huko Florida. Diddy ...
27
FAIDA ZA KARANGA MBICHI KIAFYA
Karanga ni moja ya vyakula katika kundi la Legumes (Kunde). Tokea zamani babu zetu walitumia karanga kama chakula na hasa wanaume walizitumia zaidi kwasababu walitambua umuhim...
28
TBT: UNAIKUMBUKA USINISEME YA ALIKIBA
Na Habiba Mohamed Whats up my people happy new year everybody…..hope uko vyema kabisa zaidi nikushukuru kwa dhati kwa kuendelea kufatilia kurasa zetu za  mwananchi...
27
Sababu zinazokufanya uwe jinsi ulivyo
Ni wakati mwingine tena tunakutana kupitia dondoo za saikolojia zinazokujia katika jarida letu la Instascoop na leo tumekuletea sababu zinazokufanya uwe jinsi ulivyo. Tunafaha...
27
Mazoezi ya kukuza kifua bila vifaa vya uzito
Habari kijana wenzangu natumaini u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya hapa na pale ya kusoma au kujiingizia kipato kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Hata hivyo le...
28
Don afunguka kuhusu afya ya Professor Jay
Moja kati ya story ambayo ni gumzo katika mitandao ya kijamii ni kuumwa kwa msanii wa Hip hop, Joseph Haule maarufu kama  Professor  Jay ambapo mambo mengi yamezungu...
27
Birthday ya Rais Samia gumzo mtandaoni
Ikiwa imetimia takriban miezi sita tangu Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo ni siku yake ya kuzaliwa na ametimiza umri wa m...
26
NIT kuanza kufundisha marubani wa ndege mwishoni mwa mwaka huu
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema kipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mchakato wa kuanza kwa kozi ya urubani wa ndege inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwa...
26
Vitu muhimu kujifunza katika Teknolojia
Mapinduzi ya kiteknolojia ni kitu ambacho hatutaweza kukiepuka. Kadri dunia inavyobadilika, mambo mapya huvumbuliwa. Leo nakuletea sehemu ya mambo machache muhimu yaliyoletwa ...
26
Sarafina Sanga
Name: Sarafina Dominick Sanga University :Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) Position: Syudent, Health and Social awareness at TAMELASA( Tanzania Medica...
26
Cardi b ashinda bilioni 2.8 kesi dhidi ya Tasha k
Unaambiwa kuwa msanii Cardi B ameshinda kiasi cha Sh. Bilioni 2.8 kwenye kesi yake dhidi ya Tasha K ambaye ni blogger yaani mtoa habari mtandaoni. Cardi B alikuwa akidai kwamb...
26
Sababu Mwakinyo kuvuliwa mkanda wbf zatajwa
Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani 'WBF' limeweka wazi suala la bondia Hassan Mwakinyo kuvuliwa mkanda wa ubingwa wa WBF Intercontinental na kupelekea kupoteza pambano len...
25
AUNTY: KUSAH UKINIACHA UTAZIKUTA NYIMBO ZAKO MTAANI
Ukisikia kimeumana, bwana ndo hii hapa!! staar wa Filamu nchini  Aunty Ezekiel amevunja ukimya  kwa kumchana baba mtoto wake Kusah kwamba endapo atamuacha basi ngoma...
25
YOUNG DEE, STEVE RNB WANA JAMBO LAO
Ohoo!! Mambo yametaradadi bwana kwa msanii Young daresalama pamoja na Stevernb huenda wakaachia ngoma siku za hivi karibuni. Nikwambie tu kuwa hii imekuja baada ya Young dee k...

Latest Post