18
Rose Muhando atamani mume mzungu, mwenye pesa
Aiseee hii ni kubwa kuliko bwana tunaweza kusema hivyo, ambapo Msanii wa Injili  na Hit Maker wa ‘Utamu wa Yesu’ Rose Muhando Amesema anaomba apate mume mzung...
18
Vijijambo vinavyoongeza upendo kwa mwenzi wako
Kumbatio la ghafla kutokea nyuma Mwanamke huwa anajisikia vizuri sana akikumbatiwa kwa nyuma na mpenzi wake kwa kushtukizwa, labda kwa mfano yuko jikoni anapika halafu mwana...
18
Mfahamu mwanamke mweusi wa kwanza kuwa bilionea
Janice Bryant Howroyd alikuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuwa na biashara yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni moja nchini Marekani. Akilelewa kusini mwa nchi hiyo jimbo la N...
18
Dili la kupika Bagia za dengu hili hapa!
Weuwee! Salamu hizi unazipata kwenye magazine ya Mwanchi Scoop pekeee au sio say aye yeee kama kawaida tuko kimadili zaidi kuliko mengine mwanangu mwenyewe. Na leo bwana tutae...
18
Vijana Pwani kuwezeshwa kiuchumi
Tatizo la vijana wengi nchini kuchagua kazi na kukaa vijiwani limekuwa likigonga vichwa vya habari licha ya serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo kupambana ili kutokom...
18
Utamjuaje mwanaume anayetaka kukuchezea
Wakati watu wawili mwanamke na mwanaume wanapokuwa kwenye kilele cha mapenzi, ni rahisi sana kila mmoja kuchunga kauli zake na kuongea yale ambayo yat...
18
Njia za kugundua fursa za kibiashara
Eenheee, niaje!! Mpambanaji na mtafutaji mwenzangu! Bila shaka huu ni wakati wakuifukuzia shilingi popote pale ilipo, usichoke endelea kupigania mkate wako wa kila siku. Wiki ...
18
Mwafrika wa kwanza kuongoza WHO
Dunia ikiwa inapitia wakati mgumu na janga la corona, kuna mtu mmoja muhimu sana katika kufanya maamuzi ya kukabiliana na janga hili, pamoja na magonjwa mengine mbalimbali dun...
17
Yajue matumizi ya Simu kitaaluma
Makala hii ilianza wiki iliyopita na leo tunaendelea nayo kipande kilichobakia hivyo msomaji wetu endelea kuwa nasi. Basi Sikatai kwamba simu ya mkononi ni kwa ajili ya matumi...
17
Shaka: Rais Samia ni turufu ya maendeleo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa turufu ya maendeleo ya Watanzania k...
17
Fata njia hizi ufanikiwe kimaisha
Leo katika Karia tunazo funguo za kukusaidia wewe Mwanachuo kupata maarifa watakayokufanya ufanikiwe kimaisha pindi bado upo chuoni. Nikuweke wazi tu kwamba unaweza kufanikiwa...
17
AY : Atoa ujumbe kuhusu muziki wa Amapiano
Ebwana eeh! Msanii  AY Tanzania 'Mzee wa Commercial' ameuliza kuhusu biashara ya muziki wa Amapiano kwa wasanii wa Tanzania nchini South Africa kama wao wanavyokuja ...
17
Cardi B: Umaarufu Unachosha
Kwa kauli hii huwenda kuna yaliyomkuta Rapa huyu kutokea nchini Marekani anayejulikana kwa jina la Cardi B. Hivi karibuni Cardi B ametweet kwamba”Famous is boring’...
14
Kijana bodaboda mwenye ndoto ya kutoboa kimziki
David Samweli a.k.a Dav Sam alianza harakati zake mwaka 2019 ikiwa ndiyo mara yake ya  kwanza kuzama studio na kufanya mkwaju wake wa kwanza ambao haujatoka mpaka leo. Ni...

Latest Post