Wolper: Maskini Hatafuti Utajiri

Wolper: Maskini Hatafuti Utajiri

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Star wa Filamu Jackline Wolper ameandika ujumbe mzito kuhusiana na Wanawake jinsi wanavyopamabana kuhakikisha wanalisha Watoto wao.

"Nakukumbusha Tu kwa wewe unayejiweza ukikutana na Maskini anauza biashara yake,Basi kama umejaliwa nunua ata kama auna matumizi nayo kwa sababu maskini hatafuti utajiri anatafuta pesa ya kula yeye na watoto wake.

“Msg kwa wanawake wanaopambana kulisha watoto wao kwa nguvu zao wenyewe''Aandika Wolper






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags