Khadija Kopa: Zuchu hata kwa Msahafu Naozesha

Khadija Kopa: Zuchu hata kwa Msahafu Naozesha

Ohoo! Hii ni kubwa kuliko ambapo Malkia wa mipasho nchini Tanzania Khadija Kopa ametoa taarifa  za mtoto wake kuhusishwa kuwa na mahusiano na msanii Diamond platnumz.

Kupitia mahojiano aliyofanyiwa na kituo kimoja cha Televisheni Khadija Kopa ametolea ufafanuzi suala hilo na kudai kuwa hawezi kumuingilia mtoto wake kwenye mahusiano yake.

“Siwezi kumuingilia Zuchu sio mtoto ni mtu mzima yule mimi kaniingilia nani kwenye mahusiano yangu? ndoa tano nachagua ninayemtaka”alisema.

Hata hivyo amefunguka kuhusu mahari ya Mtoto wake ambapo amesema mahari anataja biharusi hivyo hata msahafu anaweza kumuozesha Zuchu.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags