Romy Jons Asilimia 99 Ep yake

Romy Jons Asilimia 99 Ep yake

Ebwana eeh!! baada ya siku kadhaa Romy Jons kutangaza kuachia Ep yake mpya aliyoipa jina la The weekend ambayo inatarajiwa kuachiwa wiki hii kaka wa msanii huyo Diamond platnumz  siku ya leo amewajulisha mashabiki zake kuwa maandalizi ya Ep hiyo yamefikia asilimia 99.

Hata hivyo bado hajaweka wazi list kamili ya nyimbo zitakazo patikana kwenye Ep hiyo pamoja na kama kutakuwa na kolabo zozote






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags