Bingwa wa michuano ya wazi ya tennis ya Australia Rafael Nadal atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki 4 mpaka 6 kutokana na majeruhi ya mbavu aliyoyapata kwenye mchezo wa ...
Moja ya story inayobamba katika mitandao huko ni ya msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria Burna Boy ambaye ameandika historia ya kuujaza ukumbi wa Accor Arena mjini Paris Uf...
Ni wazi kuwa hivi karibuni watu wengi sana biashara za mtandaoni zimekuwa na thamani kubwa, hii ni kutokana na janga la COVID-19 ambalo limelazimisha watu wengi duniani k...
Name: Hawa Ngalima a.k.a Hawa Beauty EmpireUniversity: UDSMPosition: StudentCourse: Bachelor Of Arts In Mass CommunicationYear of study: Second YearFavorite sport: Martial Art...
Mambo niaje! msomaji wa Mwananchi Scoop? Leo kwenye kipengele cha Smartphone bwana nakuletea namna simu janja zinavyotengenezwa bwana au sio fuatilia dondoo hii ili uweze kuji...
Label ya 1501 Certified Entertainment iliyokuwa ikimsimamia Mwanamuziki Megan imemshtaki msanii huyo kwa kuachana nayo kwa ugomvi.
Kutokana na madai hayo, label hiyo imeamua k...
Wasanii wa muziki wa Bongo fleva wamemtaka msanii wa filamu nchini Steven Mengele maarufu Steve Nyerere ang’atuke kwenye uongozi ndani ya saa 48, kwa madai kuwa hawamtam...
Naam! Uko pouwa mdau wangu? hivi unafahamu namna ya kupika cookies? Au ndo unasikia sikia tu halafu helewi mambo, usijali hili suala niachie mimi.
Leo kwenye nipe dili nitakuj...
Hivi karibuni nilibahatika kukutana na ripoti ya Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) ya mwaka 2015. Najua ni ya siku nyingi lakini ilinifikirisha sana.
Mbali na mambo m...
September mwaka jana Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri.
Miongoni mwa sura mpya katika baraza hilo la mawaziri, ni ...
Faru Rajabu, aliyekuwa mtoto wa Faru maarufu kama Faru Juma, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kutokana ana sababu za uzee, katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Kwa mujibu...
Achana na rekodi ya kuwa msanii wa tatu Afrika 2021, unaambiwa mwenye nacho huongezewa kila siku, EP ya First Of All (FOA) ya Diamond Platnumz imeweka rekodi ya ngom...