Mojawapo ya mambo muhimu katika mafanikio ya aina yoyote maishani ni kupata msaada wa aina Fulani kutoka kwa watu wengine. Mtu hawezi kufanikiwa bila msaada wa watu,kwa maana ...
Name; Magreth Bavuma University; Tumaini university Dar es salaam college (TUDARco) Position; student Course; Bachelor of arts in mass communication Year of study; 2 year Favo...
Inaendeleaa..
Ni kweli yule bwana alionekana kuwa na uwezo pale kijijini, alikuwa na nyumba mbili zilizoko karibu, ng’ombe wa maziwa kadhaa, mashine ya kusaga nafa...
Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Steve Nyerere ametoa ujumbe mzito ambao umewataka watu kukumbuka kwamba hukumu ni kazi ya Mwenyezi Mungu pekee.
Kupitia ukurasa wake wa Instag...
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amefunguka juu ya sakata lake la kuvuliwa mkanda wa Africa Boxing Union (ABU) kwa kuwapa pole mashabiki zake na kusema kuwa malengo yake ni...
Assalamu alaykum! Inafahamika kuwa kila mwaka waumini wa dini ya kiislamu hufanya ibada ya swaumu au funga ikiwa ni miongoni mwa nguzo tano za dini ya kiislamu.
Najua utakua u...
Naam mambo vipi mtu wangu karibu sana kwenye ukurasa wa nipe dili ikiwa tuko ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani basi ni wajibu wangu kuweza kukuelekeza mapishi mbalimb...
Ebwana siku za hivi karibuni msanii Harmonize alishea video akifundishwa mchezo wa ngumi huku akitaka mtu yeyote mwenye matatizo naye binafsi basi wakamalizane ulingoni.
Baada...
Moja kati ya stori ambayo imezua gumzo mitandaoni ni hii hapa inayomuhusu msanii wa muziki wa bongo fleva Ruby ambaye alishare taarifa kupitia account yake ya instagram...
Kimaumbile inaelezwa kwamba, mwanaume hahusishi tendo la kujamiiana na kumpenda mwanamke.
Kwa mwanaume, kupenda ni jambo moja na tendo la kujamiiana ni jambo lingine. Hii ni t...
Nafahamu kuwa mwanafunzi wengi hasa wa vyuo wana vitu vingi vya kufanya ikiwemo masomo, mitihani hata kufurahi pamoja na wenzako.
Hata hivyo ni wazi kuwa ni ngumu mwanafunzi k...
Katika listi ya nyoka hatari zaidi duniani uwezi ukasahau kumtaja Anaconda ambaye hufahamika kama Green anaconda au Giant anaconda.
Filamu nyingi zimetolewa kuelezea hatari ya...
Name; Stanley Mkombozi University; Institute of Finance Management (IFM) Position; Student Course; Diploma in Computer Science and information Systems Year of study; Second ye...
Muigizaji na muimbaji Jennifer Lopez ametangaza kuwa atafunga pingu za maisha baada ya wapenzi hao kusitisha harusi yao.
Lopez mwenye umri wa miaka 52, alidokeza kuwa amechumb...