Harmonize

Harmonize

Na Aisha Lungato

Name; Rajab Abdul Kahali

Birthday; March, 15

Kazi; Musician 

Rajab Abdul Kahal also popularly known as Harmonize, Kondeboy and Bakhresa is an Tanzanian singer and CEO of   “Konde Music Worldwide”  known as Konde Gang label.

Harmonize alipata umaarufu kupitia ngoma yake ya “Aiyola” ya mwaka 2019 ambayo ilimpa shavu la kujulikana zaidi ndani na nje ya nchi kupitia ngoma zake kadha wa kadha kama vile Happy birthday, Atarudi, Nambie, teacher, mwaka wangu  , jeshi na nyingine kibao ambazo zinafanya vizuri kupitia mitandao ya kijamii.

Hivi karibuni Bakhresa amezua taharuki katika mitandao ya kijamii baada ya kuonekana kuvalia sketi jambo ambalo limeshitukiza watu wengi, ambapo vazi hilo alilitumia katika video ya nyimbo yake mpya ambayo ameshirikishwa na msanii wake Anjella inayojulikana kwa jila la “Kioo”.

We love Harmonize because he is a young man who has the courage to fight for his own dreams without relying on anyone, and we also admire him because he is proud of the work he is doing which inspires many budding artists to be like him.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post