Tips za kupunguza uzito baada ya kujifungua

Tips za kupunguza uzito baada ya kujifungua

Baada ya kuijfungua wanawake wengi hupenda kurudisha muonekano wa miili yao kuwa katika hali ya awali, fahamu njia zitazoweza kurudisha muonekano wako mara baada ya kutoka kujifungua.

Katika dunia ya sasa, vijana wengi sana hujifungua mapema na mara baada tu ya ku-pop out your baby, unataka kurudi kwenye sexy bodyyy. Jibu sisi tunalo!

Kula kwa kuzingatia afya na kufanya mazoezi  kutakusaidia kurudisha umbile lako kadri unavyotaka kuwa, zifuatazo ni njia zitakazoweza kukusaidia kutunza uzito wa afya yako.

.Tenga muda kwa ajili ya kupata kifungua kinywa.

.Pendelea kula vyakula vyenye nyuzinyuzi(fiber)vitakusaidia kufanya usafishaji wa chakula kama vile maharage, nafaka, mbegumbegu na mboga za majani.

.Jitahidi kula angalau aina tano za matunda na mbogamboga.

.Usipendelee sana kula vyakula vyenye fati nyingi na sukari kama vile keki na biskuti.

Usikose kufuatilia dondoo zitazo ili kufahamu njia nyengine zitakazoweza kukusaidia kurudisha tumbo lako baada ya kujifungua.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags