Makabila Amtolea uvivu Maarifa

Makabila Amtolea uvivu Maarifa

Msanii wa muziki wa singeli Dulla Makabila   Hajapendezwa na mistari aliyoongelewa na rapper Maarifa kwenye wimbo wake mpya  wa Simshirikishimtu "kwanza ana hila pili ana hasira muziki haumlipi amegeuza mapenzi ajira"

 Makabila ameonesha kutopendezwa na mistari hiyo kabisa na kutaka kuvunja mazoea na msanii huyo pamoja na uongozi wake

Makabila amepost na kuandika ujumbe huu hapa "Mara kadhaa nimekuwa nikikataa mazoea na uyu mtoto ila naona kama uongozi wake unafurahia dogo anavonipanda kichwani

Sasa maisha yangu wewe yanakuhusu nini mpaka ueke kwenye wimbo wako wenye video ya bure

Au Na Mimi Nikuimbe Unavomsemaga Bos Wako Madee Ali   au unadhani siwezi sitaki mazoea na wewe !!''

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags