Poshy Queen afunguka chanzo cha kuachana na mumewe

Poshy Queen Afunguka Chanzo Cha Kuachana Na Mumewe

Aisee hii nayo ni kubwa kuliko Mrembo Poshy Queen amesema kuwa  chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mumewe na baba mtoto  wake John kutoka Nigeria zimesabishwa na changamoto za mahusiano.

"Kwenye mahusiano hamuwezi kwenda sawa kila siku, sisi hatuku-date muda mrefu kwa sababu tulioana mapema, labda hatukujuana hatukukaa pamoja na vitu vingine vya kawaida" amesema Poshy Queen

Ebwanaa !!  kila mahusiano yanachangamoto zake bwana unaweza kudondosh comment yako hapo chini kuhusiana na mkasa huu.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post