11
Ahmed Ally afunguka mazito baada ya Simba day
Ebwana baada ya maneno kua mengi kwenye mitandao ya kijamii bwana hatimaye Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmedally ameachia ujumbe huu hapa kupitia mtandao wake wa Instagram. Ahme...
20
Mchungaji aliyefungisha ndoa ya Billnass na Nandy afunguka mazito
Moja kati ya taarifa ambayo imewaacha watu midomo wazi ni hii hapa inayohusisha maneno aliyoyazungumza Mchungaji aliyefungisha ndoa ya Billnass pamoja na Nandy katika kanisa l...
18
Zuchu Afunguka baada ya ndoa ya Billnas na Nandy
Ebwana eeh baada ya kufunga ndoa wasanii maarufu hapa nchini Billnas pamoja na mkewe halali Nandy, Zuchu ameamua kuwapongeza wawili hao kwa hatua hiyo waliyofikia. Zuchu ...
02
Poshy Queen afunguka chanzo cha kuachana na mumewe
Aisee hii nayo ni kubwa kuliko Mrembo Poshy Queen amesema kuwa  chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mumewe na baba mtoto  wake John kutoka Nigeria zimesa...
01
Tunda Afunguka kushikiwa Bastola kwenye mahusiano
Ebwana eeeh!! Baby mama wa  Msanii Whozu Cappucino Tunda   Amefunguka Naye Kuwahi Kupitia Katika Mapenzi Ambayo Aliwahi Mara Kadhaa Kushikiwa Bastola Na Aliyeku...
25
Nandy, Afunguka ujauzito wake kwa Billnasi
Aiseee baada ya kuzuka minong’ono mingi sana huko mitandaoni kuhusiana na kile ambacho kinadhaniwa kuwa Msanii wa bongo fleva The African Princess Nandy  kuwa ni mj...
12
Mbosso Afunguka furaha ya kuwa na Wapenzi wanne
Msanii kutoka lebo ya WCB, Mbosso Khan amefunguka na kutoa maoni yake kuhusu furaha ya mtu kuwa na wapenzi wanne kwa wakati mmoja. Mbosso ameeleza kwamba mtu ukiwa na mpenzi m...
21
Aliyezaa na Barakah The Prince afunguka
Aisee hii nayo kubwa kuliko Msanii wa filamu aliyezaa mtoto na Barakah The Prince, Careen Simba anasema kuwa  chanzo cha kuachana na msanii huyo ni kuanzisha mahusiano na...
13
Mwakinyo afunguka sakata la kuvuliwa mkanda
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amefunguka juu ya sakata lake la kuvuliwa mkanda wa Africa Boxing Union (ABU) kwa kuwapa pole mashabiki zake na kusema kuwa malengo yake ni...
24
Linex: Uwoga sio dhambi
Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mseda Alias maarufu kama Linex Linenga amefunguka huko mitandaoni na kusema kuwa mtu muoga sio dhambi. Linex ambaye amefanya na anaendelea kufanya...
01
Diva: Sipendi wanaume wachafu
Moja kati ya story zinazojadiliwa katika mitandao ya kijamii ni kauli ya mtangazaji wa kipindi cha LaviDavi cha WasafiFm, Diva The Ebawse ambaye ameweka wazi kuwa apendi wanau...
20
Uwoya ataka kwenda Honeymoon sio Fungate
Moja kati ya stori ambayo imeleta gumzo huko mitandaoni ni kuhusiana na Star wa Filamu nchini Irene Uwoya ameandika ujumbe unasema kwamba anataka Honeymoon na sio fungate. Sas...
03
Nandy afunguka mazito
Ikiwa leo ni jumatatu ya kwanza ya mwaka mpya wa 2022, basi katika gumzo mitandaoni huko tumekusogezea mambo mazito aliyoyasema msanii wa muziki wa kizazi kipya Nandy. Kupitia...
30
Irene Uwoya: 2022 Ni mwaka wa kupunguza watu
Eebwana ulishawahi kusikia usemi wa msanii wa BongoFlava Tundaman ambao unasema kama una rafiki snitch, mpenda bata, miyayusho au humuelewi we mpunguze tu. Basi huo usemi pia ...

Latest Post