Wameachana tena

Wameachana tena

Msanii kutokea nchini Marekani Trevornoah na Minkakelly wameachana tena huku chanzo cha karibu kikitajwa mmoja wapo anahitaji kuwa na furaha.

Chanzo hicho cha karibu kimeambia jarida la People kuwa Minka anafuraha sana na anasema ni bora awe single kuliko kupoteza muda na jamaa asiyemfaa.

“Chanzo cha karibu kimesema Minka anafuraha sana, ni bora awe single kuliko kupoteza muda na jamaa asiyemfaa,” kimesema chanzo hicho.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags