Sauti Soul wapoteza subscribers 2000

Sauti Soul wapoteza subscribers 2000

Aisee hali sio shwari kivilee  katika kundi la Sautisol ambapo limepoteza wafuasi wake takribani 2000 katika mtandao wa Youtube  ndani ya siku moja.

Hii imekuja baada ya kutaka kumchukulia hatua za kisheria Mgombea waUraisi nchini Kenya Raila Odinga pamoja na chama cha Azimio la umoja kwa kutumia wimbo wao wa Extravaganza katika kampeni zo bila ruhusa ya  kundi hilo.

Hata hivyo kundi hilo hapo awali lilikuwa na jumla ya wafuasi (Subscribers)905k na kushuka hadi 903k ndani ya siku moja jambo ambalo limehusishwa moja kwa moja na madai yao ya Hakimiliki kwa chama cha Azimio la umoja.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags