Baby mama wa Ibraah adai laki 5 kwa mwezi

Baby mama wa Ibraah adai laki 5 kwa mwezi

Ebwana eeh!! Baby Mama wa msanii Ibraah Tz kutoka kundi la Kondegang Music Worldwide, Jaqcline Cosmas 'Sugar' ametoa ruhusa kwa Ibraah kuchukua vipimo vya DNA kama haamini mtoto huyo ni damu yake.

Vilevile mzazi mwenza huyo wa Ibraah amesema  kwamba anafuatilia kwa Mwanasheria wake kuhusu kupewa Tsh Laki Tano kwa mwezi kutoka kwa Ibraah kwa ajili ya huduma za mtoto wao.

Aisee ukisikia ukimwaga mboga mimi na mwaga ugali ndiyo hiki sasa ambacho huenda kikamkuta msaani huyo ruksa kudondosha comment yako hapo chini kuhusiana na jambo hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags