Muna Love: Sitokufa bali nitaishi

Muna Love: Sitokufa bali nitaishi

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Muna Love ameandika ujumbe huu hapa baada ya kupost picha alizozushiwa kuwa amefariki.

“Mimi sitakufa bali nitaishi ili kutangaza ukuu wa bwana, nikimaliza kazi basi ntaenda kupumzika, ila kwa sasa bado nipo sana tu mi nitakufa nikiwa mzee sana.

Na nyie mnaoniombea hili Mungu awabariki na kuwapa maisha marefu nimetumiwa sasa hivi nimebaki sina la kuwaambia ila Mungu atashughulika na nyinyi.

Hata kama hunipendi ndo uniuwe nikiwa hai? Hizo YouTube ni sehemu za kuumiza wenzenu?”

Aisee huo ndiyo waraka alioachia Munalove baada ya kusingiziwa kifo. Je una maoni gani kwa watu wanaozusha habari ambazo sio njema kwa wenzao?

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags