Malkia Karen kufanya surgery ya tumbo

Malkia Karen kufanya surgery ya tumbo

Aisee za chini chini kabisa huenda msanii Malkia Karen akaenda kufanya 'Surgery' kama baadhi ya mastaa wengine walivyofanya ili kupunguza tumbo kwenye mwili wake.

Malkia Karen ameweka wazi kwamba vitambi vinasumbua sana wadada hivyo hata yeye akipata pesa zake ataenda kukitoa. 

Pia ameongeza kusema sio mbaya kwa mtu mwenye uwezo wake kurekebisha kitu kwenye mwili wake. 

Tuambie mdau hili suala la surgery kwa upande wako limekaaje? dondosha comment yako hapo chini kupitia www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags