Linex: Baba Levo hajui kukaa na siri

Linex: Baba Levo hajui kukaa na siri

Moja ya mambo ambayo msanii wa muziki Linex Sunday Mjeda ameeleza ni kuhusiana na msanii mwenzake Baba Levo ambaye amemtaja kama mtu ambaye hawezi kukaa na siri.

Linex ameyasema hayo katika kipindi cha mgahawa kinachorushwa na Wasafi Fm ambapo alisema Baba Levo siyo mtu kabisa wa kupatiwa siri kwa sababu lazima kesho utazikuta sehemu nyingine kwa kile alichodai kuwa msanii huyo hawezi kukaa na mambo yake sembuse ya mtu.

“Unaweza kuongea nae kitu hapa ukaenda sehemu ukakikuta ukimpigia kumind kwanini tunaongea kitu nakikuta sehemu, atakwambia mimi mwenyewe kukaa na mambo yangu siwezi nitaweza kukaa na vitu vya mtu mwingine, wakati huo wewe umekasirika lakini mwenzio hata hayupo huko,” alisema

 

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post