Bob Junior Atoa neno Mahaba yake kwa Wema Sepetu

Bob Junior Atoa neno Mahaba yake kwa Wema Sepetu

Aisee hii nayo kubwa kuliko msanii Bob Junior ameweka wazi kuwa msanii wa filamu Wema Sepetu ni mwanamke wake na huenda akamtolea posa kumuoa. 

Akimzungumzia Wema Sepetu kupitia kituo kimoja cha redio  Bob Junior amefunguka masuala haya juu ya mrembo huyo. 

"Ni mwanamke wangu na mke wangu kabisa msitake kujua vitu vingi, mapenzi yetu si vyema kuyazungumzia sana ila wafahamu ni mwanamke wangu pengine nitamposa".

Nikukumbushe tu kuwa wawili hao wame-make headlines kwenye mitandao ya kijamii baada ya Bob Junior kupost video akiwa anam-kiss Wema Sepetu.

Ebwana eeeh! Tuambie mdau kwa mtazamo wako imekaaje hii? Dondosha comment yako hapo chini www.mwananchiscoop.co.tz

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags