Gucci Mane ampa shabiki Milioni 11.6

Gucci Mane Ampa Shabiki Milioni 11.6

Moja ya story inayotrend katika mitandao ya kijamii ni hii ya msanii kutokea pande za Marekani, Gucci Mane kumpatia shabiki yake takribani Sh. Milioni 11.6.

Mane ametoa kiasi hicho cha fedha baada ya shabiki huyo kumpatia saa aliyoidondosha wakati akiendelea ku-perfom jukwaaani.

Gucci Mane


Kitendo cha shabiki huyo kuiokota saa hiyo na kumrudishia Mane kilionekana kumfurahisha Mane na kuamua kutoa kiasi hicho cha fedha na kumpatia.

Tuambie kwa hapa bongo msanii gani anaweza kutoa mkwanja mrefu endapo atapewa kitu alichokidondosha akiwa jukwaani.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.


Latest Post