Ifahamu Kiundani program ya Truecaller pro

Ifahamu Kiundani program ya Truecaller pro

Hellow, karibu sana kwenye kipengele cha Smartphone ni matumaini yangu uko pouwa na unaendelea na mishe zako za kila siku.

Leo kwenye Smartphone nataka kukufahamisha kuhusiana na program ya Trucaller kwa wale wajanja sio ngeni kwani huwenda umeshaisikia lakini huifahamu inafanya kazi gani.

Sasa leo utapata majibu ya maswali yako kuhusiana na program hii fuatilia kwa makini dondoo ya leo.

  • Truecaller ni moja kati ya program bora ambazo zinaweza kukusaidia kujua mambo kadha wa kadha kuhusu watu wanaokupigia simu na kutuma ujumbe kwenye simu yako.
  • App hii inatumiwa na mamilioni ya watu duniani kote unaambiwa hadi sasa program hii ina download zaidi ya million+14.
  • Program hii ya Truecaller pro inakuja na sifa ya kuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi zaidi kama ifutavyo.
  • Unaweza kuongea bure na marafiki au familia yako kupitia program hii.
  • App hii haina matangazo
  • App hii inahifadhi historia ya simu, anwani, sms, kwenye hifadhi ya Google (Google drive).
  • App hii inafanya kazi kwenye simu yoyote ile yenye laini mbili.
  • Inakupa uwezo wa kutambua kiotomatiki kila SmS isiyojulikana.
  • Inauwezo wa kuzuia SmS za matangazo kama vile Tatu mzuka, na sms za promotion.
  • Inauwezo pia wa kurekodi maongezi na kuhifadhi kwenye simu yako.
  • Unaweza kupakua App hii kupitia simu yako ya mkononi iwe Android au Apple app store dondoo hii imeandaliwa kwa msaada wa Tanzania tech Ahsanteeeeee.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags