Inaendelea kutoka wiki iliyopita…
Inaanzaje?
Watu wawili hupendana. Kama nilivyosema, kupendana huku husababisha homoni hii kuzalishwa ubongoni. Kuzalishwa kwa kemikali...
Hellow wanangu wa Mwananchi Scoop. I hope mko good kabisa. Leo bwana katika biashara, nimekujia na jambo muhimu ambalo unatakiwa kulifahamu wewe mjasiriamali na mfanyabiashara...
Alooooh! It’ another Friday mtu wangu, kama kawaida yetu hatunaga mbambamba waswahili wanasema, sasa leo kwenye kazi na maisha nje ya kazi tumekuletea somo ambalo litaku...
Moja kati ya taarifa kubwa ya kimataifa ni hii hapa inayomuhusu Ivana Trump ambaye amewahi kuwa mke wa aliyekuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefariki dunia Julai...
Hellow mambo vipi?!! tupo kwenye kipengele chetu cha kibabe bhana jumatano lazima tuamshe na Smartphone ili kuhakiksha simu zetu tunakwenda nazo sawa bin sawia hakuna kuremba ...
Hii sasa kali Nyota Wa Filamu Bongo Irene Uwoya katika ukurasa wake wa instagram ame-share video fupi akisema kwamba anatafuta mtu kwaajili ya kumchekesha "Na...
Bwana bwana! Wanaanza kumchokoza Ruby wetu.Kama tunavyojua bwana... msanii wa Bongo Fleva, Kusah amewaweka katika kipindi kikali wasanii Aunty Ezekiel na Ruby, kwa sasa maarud...
Msanii pendwa wa WCB Wasafi, Mbosso Khan sasa officially ameachia video ya nyimbo yake mpya ya "MOYO."Baada ya fans kupokea audio ya Moyo hivi karibuni, Mbosso ameamua kutushu...
Hii imetokea huko Nchini Afrika Kusini ambapo Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30, amefariki dunia baada ya kumaliza chupa nzima ya pombe kali y...
Nyota wa Bongo Flava na CEO wa Next Levl Music, RayVanny ameaga rasmi lebo ya WCB Wasafi.Ingawa tetesi hizo zimekuwa zikitamba kwa muda sasa, ila leo msanii huyo kupitia kuras...
Aloooh dada wa msanii Diamond, Esma Platnumz amefunguka kuwa haoni sababu ya kuteswa kwenye mapenzi/mahusiano wakati ana uwezo wa kusimamia mambo yake yote na sio k...
Hapa sijui kama nicheke au nisikitishe maana mambo ni mambo muraaa!!Sidhani kama kuna siku tulitegemea kuona wananchi kushikwa na hasira hadi kuamua kuvamia nyumba ya Rais wao...
Kali nyingine hii hapa!Pengine ulikuwa unajua kuwa nchi ya China inaongoza kwa watu wengi duniani, lakini je ulijua kuwa uwingi huo wa watu ni sawa na watu wa bara zima la Afr...