Ahmed Ally: Raha zimerudi msimbazi

Ahmed Ally: Raha zimerudi msimbazi

Aloooooh! Sio powa yani wanasimba wameamka tena yani hadi mzee wa mlete mzungu bwana anatamba yeye tu uko katika mitandao ya kijamii kwa kusema kuwa simba ndo kwanza wameanza na raha zitaendelea.

Semaji hilo kupitia mtandao wake wa Instagram ameyasema hayo baada ya kuichapa Geita gold mabao 3 kwa 0 huku katika msimamo wa ligi NBC simba wakiwa ndo wakwanza mzee wa hatujamaliza ameonesha furaha yake kwa kusema kuwa “ Raha zimerudi msimbazi, raha ya kushinda uskilize vipindi vyote vya michezo vya redio na Tv akamalizia kwa kusema Hatujamalizaaaaaa” ameandika Ahmed Ally






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags