Watu 16 wafariki katika mafuriko China

Watu 16 wafariki katika mafuriko China


Moja kati ya taarifa tuliyonayo ni hii hapa kutoka huko nchini China ambapo Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai nchini humo. 

Kutokana na Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha Maporomoko ya Ardhi ambayo yalifanya Mto ujae. Mafuriko hayo yameathiri eneo lenye zaidi ya Wakazi 6,000 na Nyumba zaidi ya 1,500.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags