Waathirika wa ukimwi kulipwa fidia

Waathirika wa ukimwi kulipwa fidia

Serikali ya Uingereza imeahidi kuanza mchakato wakulipa fidia kwa waathirika wa ukimwi ambao waliambukizwa kimakosa

Aidha Waathirika hao zaidi ya 4,000 watalipwa fidia ya Tsh. 281,800,046 baada ya kuambukizwa Virusi Vya UKIMWI kwa uzembe wakati wakiongezewa Damu

Watu hao waliambukizwa VVU na Homa ya Ini kupitia bidhaa chafu za Damu zilizoingizwa kutoka Marekani ambapo takriban Watu 2,400 wanadaiwa kupoteza Maisha

Malipo yatafanywa mwishoni mwa Oktoba 2022 na yatawahusu waathirika kutoka Nchi za Scotland, Wales na Ireland Kaskazini.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags