Muigizaji wa Filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka na kuamua kuwapa ushauri huu hapa Harmonize na Kajala ili kuhakikisha Penzi lao linadumu .
Aunty Ezekiel a...
Moja kati ya jambo ambalo linazidi kuzungumziwa mitandaoni ni kuhusiana na sakata la Mtangazaji Khadija Shaibu maarufu Didah kuwa bado yupo kwenye ndoa au la.
Kuptia kipindi c...
Staa wa filamu nchini Irene Uwoya anaendelea kuwakumbusha watu kuwa waendelee kutafuta pesa kwa sababu mwanamke mzuri anatengenezwa haji hivihivi.
Kuthibitisha kauli...
Kutoka kwenye ukurasa wa Babu tale ameeandika ujumbe huu mahususi kwa Hayati mke wake toka alipoiaga dunia ni miaka miwili sasa.
'Miaka 2 ya chozi la upendo. Leo tarehe 28 Ju...
Aisee kutoka moja kwa moja kwenye ukurasa wa Instagram wa Muigizaji Shamsa Ford Kwenye ameachia ujumbe huu mzito akiwasihi watu kuishi kwenye uhalisia wao.
''...
Ebwana hii nayo kubwa kuliko kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Maua Sama ameandika ujumbe huu hapa bwana akisema kwambaa!.
"JIMBO LIPO WAZI " ambayo kwa tafsiri ya w...
Wanadamu kwa asili ni viumbe vya kijamii ambavyo hutamani kuunda uhusiano na wale wanaowazunguka. Kwa hivyo, biashara nyingi hustawi wakati wafanyakazi wanafanya kazi pamoja k...
Ooyeeah! Leo katika kazi, ujuzi na maarifa leo tunakuletea mbinu ambazo zitakusaidia kukabiliana na kuhimili mazingira magumu kazini ili yasiweze kukupa stress.
Si...
Hellow! Wanangu wa mwananchiscoop leo katika biashara tumekujia na nondo ambazo zitakusaidia katika biashara au mradi unayo taka kuuanzisha ungana nasi kupata mbinu ambazo zit...
Eh bwana eeh! Nani asiependa kula bata especially when money is in your pocket?
Leo nakuletea an extreme but yet a wonderful adventure ya kuexperience walau mara moja kwa mwak...
The 2020s have been crazy in so many ways. COVID-19 ilituforce dunia nzima tuhamia mitandaoni kwani pande nyingi za dunia zilikuwa kwenye lockdown. Hii ilipelekea dunia kutege...
Halooo!!! Moja kati ya siku ambazo ni special sana kwa mwanamke ni ile siku ambayo anapata nafasi au bahati ya kufunga ndoa kwenye maisha yake na hua ni siku kubwa sana ...
Yees!! Karibu sana mdau kwenye ukurasa wa entertainment bila shaka huu ndiyo ukurasa muhimu kabisaa wa kuyafahamu mengi yanahusu burudani bwana ama nini?
Bila kukupotezea muda...
Si mnaelewa watu wangu wa nguvu yani Mwananchi scoop hatunaga mba mba mba, leo bwana kwenye new movie tunakusogezea kigongo ambacho mwaka 1949 ilikuwa kama ni novel lakini mtu...