Ne-Yo, Crystal ndoa yao matatani

Ne-Yo, Crystal Ndoa Yao Matatani

Aoooh!!! Ukisikia kitumbua kimeingia mchanga ndiyo hiki ambacho kimetokea kwa wawili hawa unaambiwa bwana Crystal Smith, mke wa miaka 6 wa msanii wa RnB Ne-Yo ameripotiwa kuwasilisha kesi ya Kudai Talaka.

Crystal amefikia uamuzi huo kutokana na madai ya kwamba NEYO amezaa mtoto na mwanamke mwingine nakusema " Ndoa imevunjika, Haiwezi kurekebishwa na hakuna matumaini ya upatanisho.".

Hata hivyo kama sehemu ya talaka, Crystal anataka haki ya malezi ya pamoja kisheria ya watoto wao na pesa za matunzo yake na ya watoto kila mwezi.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post