Dogo Janja na video mpya

Dogo Janja na video mpya

Huku Kusah akiwa ametupa kidokezo chake, bado msanii huyo ametoa video mpya aliyoshirikishwa na Dogo Janja aka Janjaro.

Video ya kichupa chao kiitwayo Mr. Kuweza imeshootiwa kwa high quality na mituupio mingi kutoka walivyovaa na maeneo yaliyooneshwa katika video hiyo.

Umeionaje video ya nyimbo hii? Tupia comment yako.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags