Mandonga  mtu kazi amuelewa Hamisa Mobeto

Mandonga mtu kazi amuelewa Hamisa Mobeto

Hahahahahah! Make hapa kwanza ncheke bwana bwana mtu kazi kumbe sio ngumu tuu hadi kwenye kuimba yumo alooooh!, basi bwana bondia huyo ametoa mpya na kusema kuwa anamzimikia mrembo Hamisa Mobeto

Mandonga ameyasema hayo kupitia mahojiano yake na moja ya chombo kimoja cha habari alivyo ulizwa kati ya Uwoya na Mobeto nani anamzimikia Zaidi na kufunguka kuwa “oya sema nini wanangu huyu Hamisa Mobeto sio powa yani huyu Mobeto nimeuelewa sana yani” amesema Karim Mandonga

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags