Kusah kuja na EP mpya

Kusah kuja na EP mpya

Oyaa mazee, msanii wa Bongo Flava nchini Tanzania, Kusah ametangaza kuja na EP yake mpya hivi karibuni.

Kupitia account yake ya Instagram, msanii huyo ambaye aliwahi kutamba sana na nyimbo yake ya “I Wish” aliandika neno “ROMANTIC EP” kama kidokeza cha EP hiyo.

Vipi, ungependa kumsikia msanii gani akiwa ameibless EP hiyo?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags