BREAKING NEWS: Erick afariki dunia

BREAKING NEWS: Erick afariki dunia

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Msanii wa Maigizo ambae ni mchekeshaji Erick Kisauti 'Ndo hivyo hivyo' amefariki Dunia, Taarifa za kifo chake kimethibitishwa na Muigizaji mwenzie Masantula

Kwa taarifa Zaidi kuhusiana na chanzo cha kifo hicho Mwananchi Scoop tunaendelea kufuatilia kwa undani zaidi.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags