Rais wa TFF Wallace Karia: mimi sio mwanachama wa simba

Rais wa TFF Wallace Karia: mimi sio mwanachama wa simba

Haya haya kwa wale mnaosema Rais wa TFF Wallace Karia kuwa ni mwanachama wa Simba bwana mwenyewe kakanusha leo kaweka wazi kuwa yeye sio shabiki wa timu hiyo.

Aidha Rais huyo ameweka wazi kupitia mkutando uliofanyika leo wa zoom na kusema kuwa  "Mimi wala sio Mwanachama wa Simba mimi ni Mwanachama wa Coastal Union, na ile picha ni ya zamani, nilitumwa niende kwenye Simba Day kumuwakilisha kiongozi wangu wa kipindi hiko, nilivyofika pale nikapewa ile jezi nivae, lakini nilienda na nguo tofauti" - Rais wa TFF, Wallace Karia.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags