Hii sasa balaa aiseee, dunia simama nishuke ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni. Mwanamke mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa amekamatwa na kushtakiwa baada ya ku...
Diamond Platnumz ni kati ya wasanii waliojizolea umaarufu sana Afrika na dunia kwa ujumla. Kutoka katika maisha ya hali ya chini sana, msanii huyu amefanikiwa kupanda kwa kias...
Yes, moja kati ya jambo ambalo linapigwa vita katika mahusiano mengi ni pale ambapo mtu akiwa ameshindwa kuendeleza safari ya mahusiano yake na mwenza wake huwa hakuna kuachan...
Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, unajua utamu wa penzi jipya wewe basi bwana kwenye zilizo trends mitandaoni bwana kutoka kwa msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego baada...
Uwiiiiiiii! Wakati wewe ukivimba na kutamba kuwa una Shangazi bora basi wengine wako kimya na marich Anty wao chezea wewe, basi bwana inaonekana week hii ni week ya Nandile tu...
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Wajapani kama fundi mchundo, ndipo mkasa huu uliponitokea nikiwa na rafiki y...
Waigizaji maarufu nchini Marekani, Jennifer Lopez na Ben Affleck wamefunga ndoa mjini Las Vegas nchini humo ikiwa ni miaka 17 baada ya kusitisha uchumba wao wa kwanza.Waw...
Ebwana eeh baada ya kufunga ndoa wasanii maarufu hapa nchini Billnas pamoja na mkewe halali Nandy, Zuchu ameamua kuwapongeza wawili hao kwa hatua hiyo waliyofikia.
Zuchu ...
NYAMA ya nguruwe maarufu 'Kitimoto' imekuwa ikipendwa sana na watu wa mijini na vijijini licha ya kwamba bei yake ni ghali kuliko ya ng’ombe.
Kwenye baa mbalimbali za ji...
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya sikukuu ya Idi. Tulikuwa mahali na jamaa yangu mmoja tukizungumza huku tukinywa soda.
Wakati tukiwa tumekaa hapo kwenye bar,...
Jina: Noah Joseph (Konkara)
Birthday: 10TH April
Kazi: Comedian
Konkara, kijana anayefanya kazi ya ucheshi ambaye ameenza rasmi mnamo mwaka 2019 chini ya mwamvuli wa P...
Labda umewahi kusikia kwamba kutokuosha nywele zako mara kwa mara, ni bora zaidi, sawa? Lakini ni nini kweli katika hili? Kwa kweli, ni swali ambalo hakuna jibu la umoja. Nini...