Jamani tuchangieni ili Erick asafirishwe

Jamani tuchangieni ili Erick asafirishwe

kutoka Kibaha kwa Mathis, hapa ndipo mahali ambapo upo msiba wa Mchekeshaji Sobogani Zabron maarufu Kama Erick Kisauti ambaye amefariki Alfajiri ya August 17 na kutarajiwa kuzika siku ya August 19 huko kwao Mwanza.

Leo hii litafanyika zoezi la kuaga mwili kwa Wasanii na Wadau mbalimbali kisha safari ya kuelekea Mwanza inatarajiwa kuanza jioni ya leo, mpaka sasa changamoto kubwa ni kukosekana kwa pesa ya kukodisha gari kwa ajili ya kusafirisha mwili,

Huku Wadau mbalimbali wakiombwa kuendelea kutuma michango kupitia namba ya Mchekeshaji Tin White ambayo ni 0782281249 Jina ni Masudi Jumanne, ili kufanikisha zoezi hili la kumsafirisha mchekeshaji mwenzao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags