Mwakinyo kurudi ulingoni Septemba 3

Mwakinyo kurudi ulingoni Septemba 3

Aloooooooh! Basi bwana baada ya  kimya cha muda mrefu kilichomfanya Bondia wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Marekani, Hassan Mwakinyo kupoteza baadhi ya mikanda, bondia huyo anatarajia kurejea ulingoni Septemba 3, 2022

Mwakinyo anatarajia kupigana na Liam Smith (34) ambaye ni Bingwa wa zamani wa WBO aliyecheza Mapambano 35 na kupoteza Mapambano matatu tu

Tofauti ya Liam na Mwakinyo ni umri na idadi ya mapambano waliyocheza. Mwakinyo ana miaka 27 na amecheza Mapambano 22, ambapo alipoteza mapambano mawili

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags