Huyu sasa ndo Mandonga mtu kazi

Huyu sasa ndo Mandonga mtu kazi

Aloooooh! Bwana bwana nani kamuona mandonga akiwa ulingoni sio powa yani mwamba anangumi za maana, mtu kazi amemchapa mpinzani wake Mussa Omary kwa 'KO' kwenye round ya kwanza ya mchezo huo wa Sensabika boxing match ambao umeandaliwa ili kuhamasisha watu kushiriki kwenye zoezi la Sensa ambalo linatarajiwa kufanyika hapo Agosti 23, 2022.

aidha baada ya mpambano huo Mtu kazi Mandonga mwenyewe akifunguka na kueleza kuwa “matamko ya watu siyo matamko ya Mandonga yaani mimi nikipigwa mashabiki zangu wanashangiria na je nimeshinda leo mashabiki watasemaje, nimekuja kivingine yoyote anaekuja mbele ajue kazi anayo” amesema Karim Mandonga






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags