22
Rais Biden Aambukizwa Virusi vya Corona
Rais wa Marekani Joe Biden ameripotiwa kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Covid-19 hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani. Rais Biden alikuwa tayari ...
23
Mambo muhimu ya kuzingatia katika biashara yako
Hello, I hope mko good kabisa. Leo katika biashara tunakuletea mawili watatu ambayo unatakiwa kuzingatia katika bishara yako. Kama tunavyoelewa, kipindi hichi ndo kipindi cha ...
23
Fanya haya kuepukana na uvivu kazini
Aloooh! Haya wale wavivu leo nimekuja na kiboko yenu, msipoacha mwaka huu mniite mbwa, niko nimekaa pale. Leo bwana katika kazi nimekujia na makala ambayo itakusaidia wewe ka...
24
IRFAN KARMALI: Kutoka kupooza baadhi ya viungo hadi kutusua upiga picha
Akiwa na umri wa miaka 21 tu, Irfan Karmali aligundulika na ugonjwa wa "Wilson's disease," ugonjwa ambao unasababishwa na uwingi w...
22
Mocco Genius aibukia kwenye Bongo Fleva
Jina: Idd Mohamed  (Mocco) Birthday: 4th June Kazi: Producer Ebwana kama kawaida ni Ijumaa nyingine tena karibu sana kwenye segment yetu pendwa kabisa ya burudani ikiwa l...
23
MAHUSIANO: Baadhi ya wanaume wana kichaa cha ‘kimya kimya’ cha ngono
Naamini bila shaka wapo baadhi ya wanawake wanaweza kukiri kukutana na wanaume wenye hamu kubwa ya kushiriki tendo la kujamiiana k...
23
Mastar waliodamshi kwenye harusi ya Nandy
Ikumbukwe kuwa tarehe 16 July, 2022 ilifungwa ndoa ya wasanii wa wakubwa hapa nchini Billnass pamoja mkewe halali kabisa, Nandy na kufanikiwa kuifanya sherehe yao katika ukumb...
23
BATA BATANI: Unapajua Kilwa Kisiwani
Tanzania ni nchi iliyojaaliwa sehemu nyingi za kipekee na za kihistoria. From wild beaches, the big 5 at national park, 2nd tallest mountain in the world, Tanzania ina attract...
22
Barbara Gonzalez: Sina taarifa hiyo nawaza kuhusu Timu yetu
Mmmmmmmh! Baaada ya purukshani zote mitandaoni kuhusiana na swala la Manara kufungiwa basi bwana kwa upande wa Afisa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez yeye akiwa katika ...
22
Manara: Kwangu wamebugi
Uwiiiiiiii! Hahahha! Make hapa kwanza ncheke,  Semaji la mabingwa bwana hajaamua kukaa kimya baada ya sakata lake kufungiwa na TFF miaka 2 na faini ya million 20 Manara k...
22
Mwijaku, Nandy Alitaka kunilipa Million 1.8 nimchafue Zuchu
Aloooooooh! Huku mjini Instagram bwana kuna sakata ambalo linaendelea linalo muhusisha bibi harusi wetu wa juzi kati Nandy na yule Dc wa Instagram Mwijaku baada ya kuvuja kwa ...
22
P Funk Amkataa Kajala
Kutoka kwa Producer wa muziki wa Bongofleva, P Funk ‘Majani’ amesema kwa sasa hahitaji kuzungumza na mzazi mwenzake, Kajala Masanja kwani amekuwa akimshauri mambo ...
22
Je Unaichunguza familia kabla ya kuchagua mwenza
Mila na desturi zetu zilikuwa zinahimiza kwamba, kabla ya vijana hawajaamua kuwa pamoja, ilikuwa ni lazima wazazi kujua kuhusu familia ya mwingine. Hata kama haina maana kuwa ...
22
Maneno ya Mo Dewji kwa Sakho baada ya ushindi
Dunia nzima sasa inajua mchezaji Pape Ousmane Sakho ameibuka kidedea kwa kufunga goli bora la CAF.WanaSimba duniani kote wamelala mororo kabisaa na hata hivyo, aliyekuwa muwek...

Latest Post