JKT yatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo

JKT yatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo

Jeshi la kujenga Taifa (JKT) August 25,2022 limetangaza nafasi kwa Vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na na mafunzo ya Jeshi hilo kwa kujitolea kwa mwaka 2022.

Aidha mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema utaratibu wa Vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na mafunzo hayo unaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya anakotokea Mwombaji.

Aidha Jeshi hilo limewapa taarifa Vijana watakaopata fursa hiyo kuwa halitoi ajira kwa Vijana pia halihusiki kuwatafutia ajira.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags