Hamisa Mobeto: hakuna wa kumuiba mwanaume wangu

Hamisa Mobeto: hakuna wa kumuiba mwanaume wangu

Mmmmmmh! Kumekucha kumekucha ila tuache utani bwana kuna watu wanajiamini katika mahusiano yao, basi bwana huko mjini Instagram kuna ka gumzo kidogo baada ya  mwanadada Hamisa Mobeto kuwaambia watu ambao wanamnyemelea bwana ake kwamba watulizane, coz hajaona kama kuna mdada yoyote anaweza kumuiba mwanaume wake.

Mobeto ameyaeleza hayo akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari na kusema kuwa “sidhani kama mwanaume wangu anaweza kuibiwa, ndo mana nikasema kuna wanaume harafu kuna mwanaume wangu mimi wakae kwa kutulia haawezi yani” amesema Hamisa Mobeto

Uuuwiiiii! Nyie nyie, kama nawewe unajiamini kama Mobeto huyu embu dondosha komenti yako hapo chini kutuaminisha.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags