Ommy Dimpoz, mimi ndo mtanzania wa kwanza kupostiwa na Manchester united

Ommy Dimpoz, mimi ndo mtanzania wa kwanza kupostiwa na Manchester united

Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke tusipo angalia huyu kijana mwenye Dimpoz zake tutamkuta uwanjani anasakata boli hahaha joke, basi bwana yule kijana aliepiga picha na Ronaldo, Ommy Dimpoz ameendelea kuwa gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa  katika ukurasa rasmi wa Manchester United.





Ommy kupitia ukuras wake wa Twitter aliendelea kuwakera Zaidi  huku akiambatanisha na picha yake alipokuwa uwanjani na kuandika kuwa “mimi ndo mtanzania wa kwanza kupostiwa kwenye page ya insta ya Manchester united kama nawaona mnavyokimbilia kuhakiki” ameandika Ommy Dimpoz

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags