Afukuzwa kazi kisa picha ya bikini, India

Afukuzwa kazi kisa picha ya bikini, India

Duuuuuh! Sio powa yani hatari juu ya hatari kuna jambo limezua taharuki kutoka katika Chuo kikuu kikuu binafsi katika jiji la mashariki mwa India la Kolkata cha St Xavier kimeingia katika mzozo wenye utata baada ya aliyekuwa profesa msaidizi kuzungumza  chombo cha habari cha  BBC na kuwaambia kwamba alilazimika kuacha kazi kwa kuchapisha picha zake akiwa na bikini kwenye Instagram, madai ambayo chuo hicho kimekanusha.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31, ambaye aliomba jina lake lisitajwe, amewashutumu maafisa wa chuo kikuu kwa "unyanyasaji wa kijinsia" na anasema kwamba "alinyanyaswa, walimtisha na aliwekwa chini ya uangalizi wa maadili."

Mzazi  huyo alimkuta mwanae akiangalia picha kwenye Instagram ambapo nilikuwa nimevaa nguo zangu za ndani tu. Alisema zilikuwa za kingono na akaomba chuo kikuu kumwokoa mwanae kutokana na uchafu huo."

 

Chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags