Ajali yaua 8 Mbeya

Ajali yaua 8 Mbeya

Watu nane wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 16,2022 katika eneo ya Shamwengo, Inyala mkoani Mbeya.

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Urlich Matei amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kusema gari kubwa la kampuni ya Evarest Frech Ltd likiwa na kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags