Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini anayetamba na ngoma ya ‘Ololufemi’ Jux ameweka wazi tofauti kati ya mpenzi wake wa sasa Priscilla Ajoke na wapenzi wake wa nyuma ...
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg ametuma salamu kwa watoaji wa tuzo za Grammy, hii ni baada ya kushare picha za ma-rapa sita nchini humo ambao wamefanya vizuri lakini hawaja...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Na Masoud KofiiMwimbaji wa Afrobeats Davido, ameonesha kujigamba baada ya kuendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii pekee aliyeshika nafasi 16 kwenye chati ya nyimbo za juu z...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amesema yeye na mzazi mwenzie Paula Paul ni watu wanaoaminia ndiyo maana hawashikiani simu."Sisi Gen-Z tunapenda maandiko kwamba usishike sim...
Mpango wa Marioo kumuoa Paula upo hiviPaula Paul ambaye ni mtoto wa mwigizaji Kajala Masanja, na Mzalishaji muziki P Funk Majani, amesema yupo kwenye mpango wa kurudi shule ku...
Na Masoud KofiiMchekeshaji na mshehereshaji Mc Pilipili ameonesha mapenzi yake kwa msanii wa hip-hop nchini Conboi Cannabino baada ya kukutana nae kwa mara ya kwanza. Katika k...
Mwigizaji Shamsa Ford amesema watu wamuache kwa sasa ametulia kwenye ndoa yake na hayupo tayari mume wake ambaye ni msanii mwenzake Hussein Lugendo 'Mlilo' aoe mke wa pili.Sha...
Kama umeshawahi kukutana na picha za kikongwe huyo na ukajidanganya kuwa huenda zikawa ni picha zilizotengenezwa na AI (Akili Bandia), basi utakuwa unajidanganya kwani huyu ni...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) chini ya katibu mkuu Kedmon Mapana ameeleza kuwa wapo katika mchakato wa kufanya marekebisho kwenye kanuni zake.Marekebisho haya yanakuja baa...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Rapa wa Marekani Kendrick Lamar anadaiwa kuingia kwenye anga za msanii Father John Misty, hii ni baada ya wawili hao kutoa album muda sawa kwa takribani miaka minne.Utakumbuka...
Na Masoud KofiiBongo Fleva na Bongo Movie ni tasnia zinazofanya kazi kwa kushirikiana nchini, kutokana na muingiliano wa baadhi ya mahitaji ya kikazi mfano namna ambavyo waigi...